Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wakazi kubadili dini, aguswa na Uislamu

Wakazi 1692256167174.jpeg Wakazi kubadili dini, aguswa na Uislamu

Thu, 17 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kutoka kwenye ukurasa wa Twitter wa Rapa @wakazi ameandika....

"Mkisikia nimeslimu msishangae… I have witnessed the most heart melting thing in my life today.

This taxi/uber driver amechelewa kwenda masjid, na Asr ikamkutia njiani, ametoa mkeka na kuswali kwenye jua la 5pm in Houston.

what?! I have never witnessed faith ya level hii.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live