Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wakazi awakosoa Diamond, Harmonize

MONDI, WAKAZI NA HARMO Wakazi awakosoa Diamond, Harmonize

Wed, 21 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rapa Wakazi amelia na umakini na uhakiki haswa kwa Mastaa wakubwa inapofika suala lao la kazi huku akitolea mfano kwa Mastaa Diamond Platnumz Harmonize na Zuchu ambao wanatarajiwa kufanya shughuli zao Disemba 25 na 31.

Wakazi Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameshare picha zikionesha Maneno kukosewa kama Cheeres badala ya Cheers na WereHouse badala ya WareHouse kwenye promo za mastaa hao na kuandika.

"Umakini na uhakiki bado ni changamoto sana kwetu, hasa kwa wasanii wakubwa. Nimeona interview ya Harmonize wameandika Were House badala ya “Warehouse” na kwa Zuchu na Diamond wameandika CHEERES badala ya “CHEERS”!

Setting a bad precedent kwa Madogo who look up to them."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live