Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wakazi aukataa wimbo wa Zuwena wa Diamond

Wakazi Na Diamond Wakazi aukataa wimbo wa Zuwena wa Diamond

Tue, 7 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rapa Wakazi amepingana na kauli ya Meneja wa Diamond Platnumz, Babu Tale kuwa wimbo Zuwena unafanya vizuri Afrika.

Pamoja na Babu Tale kuweka data za YouTube jinsi wimbo huo unavyo-trend sehemu tofautitofauti duniani, Wakazi amepita na kuacha ujumbe huu kwenye Comment "oyaaa ni Mkubwa Africa huu eti? ????

Nadhani ni mkubwa Africa Mashariki tu. Sema wimbo mzuri. haupo top 20 za other big African Markets (Nigeria, Ghana, Congo, South Africa, etc) na nadhani tunahitaji hujui why?! Tupate muda tuyajenge haya… Babu Tale"

Chanzo: www.tanzaniaweb.live