Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wakazi anyoosha mikono Albamu ya Harmonize

Wakazi Webbiro Wassira wakazi

Sun, 30 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Siku mbili tu tangu Msanii na CEO wa Konde Gang, Harmonize aachie Albamu yake ya Tatu "MADE FOR US".

Rapa Wakazi ameipamba Album hiyo huku akienda mbali zaidi na kusema 'Made For Us' ndio Album bora ya Mwaka hadi sasa.

Wakazi ameandika hayo kupitia ukurasa wake wa Twitter.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live