Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wakazi anusurika kifo ajalini

Wakazi Ajali Gari aliyopata nayo Msanii wa Hip Hop kutoka Tanzania Wakazi

Thu, 22 Sep 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki wa Hip Hop Nchini Webiro Wakazi Wassira "Wakazi" ametangaza kunusurika Kifo kwenye ajali mbaya ya gari.

Rapper huyo kwa sasa yupo zake nchini Marekani, Kupitia taarifa yake ambayo ameichapisha kwenye Mtandao wake wa Twitter Muda Mchache.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live