Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wakazi amvaa Khaligraph Jones "Haumtishi mtu"

Lkj Wakazi Wakazi na Khaligraph Jones

Thu, 24 Aug 2023 Chanzo: Mwanaspoti

Msanii wa HipHop Bongo, Webiro Wasira maarufu kama 'Wakazi' amemtolea uvivu msanii wa Kenya, Brian Ouko Omollo aka Khaligraph Jones baada kutoa ushauri kwa wasanii wa Kenya kuwa endapo wanataka kufanikiwa kwenye muziki na kuutaawala kama zamani, lazima waungane kufanya kolabo na kumaliza toafuti zao.

Kutoka kwenye ukurasa wa #X wa rapa, Wakazi ameandika ujumbe huu kumuhusu Rapa Khaligraph Jones kutoka Kenya.

"Uwezo unapimwa kwa utakachofanya na artist in the same record, na for lack of better words, “Khaligraph umekuwa unakimbia ku-rap na TZ LYRICAL TITANS. We celebrate you as a successful EA eMCee, ila haumtishi mtu huku. Facts."

Chanzo: Mwanaspoti