Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wakazi amlipua kina Peter Msechu na nyimbo za misiba

Wakazi 1692256167174.jpeg Wakazi amlipua kina Peter Msechu na nyimbo za misiba

Tue, 5 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii Wakazi amewataka wasanii wanaotunga nyimbo za maombolezo basi wazifanywe kwa moyo kweli ili ziwaguise wafiwa na ubora na wala wasiwe na haraka

"Kama mtu unafanya nyimbo za tribute kwa waliotangulia, basi zifanye kwa moyo kweli na kuhakikisha zina ubora na zitawagusa wafiwa na kuwafariji. Haina haraka…

Hakuna mashindano, na usilalamike watu wakikukejeli. Pengine ni nafasi ya kujitathmini kama kweli umefanya kitu kizuri." ameandika Wakazi kupitia mtandao wa X.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live