Menu ›
Burudani
Wed, 15 Sep 2021
Chanzo: eatv.tv
Rapper Wakazi ametoa mtazamo wake kuwa asilimia 30 ya mapato yote ya wasanii kwenda kwenye utawala italeta walakini ukizingatia hiyo inayobaki inaenda kwa wasanii wote.
Rapper Wakazi ametoa mtazamo wake kuwa asilimia 30 ya mapato yote ya wasanii kwenda kwenye utawala italeta walakini ukizingatia hiyo inayobaki inaenda kwa wasanii wote. Hii imekuja baada ya Afisa TEHAMA wa COSOTA, Segenge James kusema kuwa wasanii wa Tanzania watapata 70% na Serikali 30% kutokana na makusanyo ya mirabaha baada ya kazi zao kuchezwa kwenye TV, Radio na maeneo mengine yanayotumia muziki kuanzia Disemba 2021.
Chanzo: eatv.tv