Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wakazi aachia tracklist ya albam yake mpya

Wakazi 1692256167174.jpeg Msanii Wakazi

Sun, 3 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kwa Wakazi ni Kazi tu, leo rapa huyo (@wakazi) ameachia Tracklist ya Album yake mpya (Beberu: Declaration) sehemu ya kwanza ambayo itatoka baadaye mwezi huu. Kuna Jumla ya mikwaju 13 ambapo 10 ameshirikiana na wakali wengine kwenye industry ya Muziki Tanzania.

Kati ya Kolabo hizo kuna moja amemshirikisha Marehemu Godzillah pamoja na Mwasiti, lakini pia kuna wimbo amempa shavu Prince Dully Sykes na nyingine akiwa na @nikkimbishi999 pamoja na @onetheincredible mbali ya zile ambazo amefanya na wakali wapya kwenye game.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live