Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Waislamu Nigeria wamshukia Davido

Waislamu Nigeria Waislamu Nigeria wamshukia Davido

Mon, 24 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Waislamu nchini Nigeria wamemjia juu Msanii Davido kufuatia Video mpya ya msanii wake aitwaye logosolori wakimtaka aifute You Tube na kuwaomba radhi Waislamu Wote Nigeria. (Ni Dharau)

Miongoni mwa walioibuka na kumshambulia Davido Ni muigizaji Ali Nuhu ambapo kupitia IG yake ame-Post picha ya Davido Na kuandika;

"Nimekutana na Video iliyoleta utata iliyo-Postiwa Na Msanii Davido, ikiwa tunataka kuwa wabunifu katika kazi zetu, inapaswa tujifunze kuheshimu Dini, mila Na Tamaduni Za watu, hii haikubaliki Kabisa Katika Uislamu. Unatakiwa Ufute Hiyo Video Na kuwaomba msamaha kwa kuwaumiza waislamu wote"

View this post on Instagram

A post shared by Wasafi TV (@wasafitv)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live