Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wagosi wa Kaya wamtembelea Professor Jay

Professa Na Wagosi Wagosi wa Kaya wamtembelea Professor Jay

Mon, 30 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kundi la muziki la Wagosi Wakaya wameenda kumjulia hali Professor Jay kitu kilichomfurahisha Professor na kuandika;

Kundi la muziki la Wagosi Wakaya wameenda kumjulia hali Professor Jay kitu kilichomfurahisha Professor na kuandika; "Leo nimefurahishwa sana kwa kuja kutembelewa na wazee wenzangu tuliotoka nao mbali sana @wagosiwakaya wakiwa wameniletea kunionyesha tuzo zao walizokabidhiwa jana kwenye @bongoflavahonors na pia wameniletea zawadi za Tshirt na Kofia za @wagosiwakaya

Chanzo: www.tanzaniaweb.live