Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wafahamu Wasanii Waliom-Unfollow Diamond

E1 Diamond, Harmonize na wasanii wengine

Mon, 15 Nov 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Licha ya kuwa mwanamuziki na mwanadamu pekee kutoka tanzania mwenye idadi kubwa ya wafuasi katika mtandao wa Instagram, akiwa na follower's/wafuasi zaidi ya Million 13' Diamond Platnumz, pia kuna watu ambao amewa-follow na ambao hajawa-follow.

Sasa akiwa kama mwanamuziki mwenye idadi kubwa ya followers katika mtandao wa instagram, hiyo haijazuia baadhi ya wasanii wenzake kum unfollow/ kumfuta urafiki katika mtandao huo.

Hawa ni baadhi ya wasanii wenzake kutoka tanzania walio mfuta utafiki katika mtandao huo licha ya yeye kuendelea kuwa follow.

1.Aslay: nyota huyu ambae alitamba na Yamoto band' kabla ya kufanya vizuri kama solo artist, ame mfuta urafiki/unfollow DIAMOND licha ya kwamba bado Diamond ameendelea kum-follow msanii huyo, na hili lilijiri katika kipindi ambacho Simba alihusishwa kutoka kimapenzi na mzazi mwenzake na Aslay, Tessy Chocolte.

2. Rich Mavoko: Member wa zamani wa WCB Wasafi, huyu pia amemfuta/unfollow urafiki #diamondplatnumz ambae alikua boss wake, licha ya kwamba bado diamond ameendelea kumfollow katika mtandao wake wa Instagram na alifanya hivyo katika kipindi ambacho anataka kujiengua wcb 2018.

3. Harmonize: boss huyu wa Konde Gang ambae pia ni member wa zamani wa WCB yeye amefanya jambo hili siku chache nyuma, yaani hata wiki haijakwisha, lakini licha ya kumfuta urafiki boss wake wa zamani bado ukimtafuta kwenye orodha ya watu ambao diamondplatnumz ame wa follow bado utamkuta.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live