Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

WOLPER: “Labda nilikuwa sijajitambua, nimejifunza kutokana na makosa”

582 Wolper 543x400 TZW

Sat, 23 Dec 2017 Chanzo: millardayo.com

Ile event ya Staa wa Bongo movie Jackline Wolper ya “Stylish Night” imefanyika jana pale High Spirit Posta. Kati ya mengi ambayo Wolper ameyazungumza ni pamoja na kuwa kwa sasa amejitambua na kujua kuwa wapo watu ambao wanamtazama kama mfano na wanahitaji sana support yake na hivyo ameamua kuwasaidia.

“Kuna wengi wanaonitumia message na kuniambia mbambo mbalimbali, na hii imenifanya niaone kuwa natakiwa kuwa dada, nilivyogundua nimeona ni bora niwe hivyo.” – Wolper 

Kuangalia interview nzima bonyeza PLAY kwenye video ya hapa chini

MWANZO MWISHO: Birthday Party ya Jackline Wolper 2017

Chanzo: millardayo.com