Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Vultures ya Kanye West kusikilizwa Pyramids

VULTURES Sa Vultures ya Kanye West kusikilizwa Pyramids

Tue, 19 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rapa Kanye West kushuka Afrika kwenye Pyramid za Misri mkononi akiwa na album yake mpya ya 'VULTURES' ambayo itasikilizwa katika Pyramid za Saqqara nchini Misri.

Rapa Kanye West kushuka Afrika kwenye Pyramid za Misri mkononi akiwa na album yake mpya ya 'VULTURES' ambayo itasikilizwa katika Pyramid za Saqqara nchini Misri. Hii sio mara ya kwanza rapa Kanye kutua Afrika kwani mwaka 2018 alitua nchini Uganda akiwa na mkewe Kimkardashian kwa lengo la kumalizia Album yake ya 'YADHI'

Chanzo: www.tanzaniaweb.live