Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Vita ya Harmonize na Rayvanny yaibuka upya

Harmo Vann Harmonize vs Rayvanny

Sun, 30 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki maarufu wa Tanzania Rajab Abdul Kahali maarufu kama Harmonize sasa anadai kuwa ni mwanamuziki mwenzake Rayvanny alivujisha picha zake za utupu na kumsababisha penzi lake kuvunjika.

Katika albamu mpya ya 'Made For Us' ambayo ameachia, Harmonize anasema kuwa jamaa kutoka Mbeya alisambaza picha zake za uchi kwa lengo la kummaliza.

"Dogo wa Mbeya aliposambaza picha zangu za utupu, mahasidi wakadhani nitajinyonga. Hapana, ni kweli mimi ni mtu wa nguvu. Hunifundishi jinsi ya kuishi," Harmonize anaimba.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live