Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Vipi kwa dalili hizi Jackline Wolper anaolewa?

813 Screen Shot 2017 12 29 At 9.00.06 PM 596x400.png TZW

Sat, 30 Dec 2017 Chanzo: millardayo.com

Muigizaji Jacquline Wolper ni miongoni mwa mastaa waliochukua headlines kwa mwaka 2017 kutokana na kuwa katika uhusiano na Harmonize na baadae kuachana na kuingia kwenye uhusiano mpya na mwanaume mwingine aliyekuwa akijulikana kama Brown.

December ya 29 ,2017 ameamua kutuonyesha kuwa mambo yameiva tayari ambapo anakaribia kuvishwa pete ya uchumba kutokana na posts alizozipost kupitia page yake ya instagram.

“unanishahurije baba kwenye engagement nivae kiutamaduni zaidi au english style ?usisahau pia nimesha fanya booking ya viti vya ukumbini vya sendoff pale ofisini kwenu ….nipo so excited na mwenye furaha for my special day

Chanzo: millardayo.com