Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Viola Davis akamilisha tuzo 4 kubwa

Viola Davis Mwigizaji na Mtayarishaji wa filamu nchini Marekani Viola Davis

Tue, 7 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwigizaji na Mtayarishaji wa filamu nchini Marekani Viola Davis amekuwa mwanamke wa Tatu kwenye historia kufikia hadhi ya EGOT yaani kushinda Tuzo 4 kubwa kwenye nyanja ya Burudani kwa Marekani.

Tuzo hizo ni pamoja na EMMY, GRAMMY, OSCAR na TONY.

Juzi Mwanamama huyo mwenye umri wa miaka 57, alishinda Tuzo ya Kipengele cha “Best Audio Book, Narration and Storytelling Recording"

Chanzo: www.tanzaniaweb.live