Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Views YouTube ni kitu muhimu kwangu – Abdu Kiba

Fri, 9 Feb 2018 Chanzo: bongo5.com

Msanii wa muziki Bongo, Abdu Kiba amefunguka namna anavyochukulia views za ngoma zake katika mtandao wa YouTube.



Muimbaji huyo ambaye anafanya vizuri na ngoma ‘Single’ ameiambia Planet Bongo ya EA Radio kuwa views katika mtandao huo ni kitu kizuri ili kujua kazi yake imekubalika.

“Views YouTube ni kitu muhimu kwangu kwa sababu nakuwa na-feel kile ambacho nakitoa wameweza kukikubali, nakuwa nafurahi,” amesema.

November 29 mwaka jana, 2017 Abdu Kiba alitoa ngoma yake ‘single aliyomshirikisha Alikiba na hadi sasa ina views 879,375 katika mtandao wa YouTube.

Chanzo: bongo5.com