Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

VideoMpya: Izzo Bizness ametuletea hii ‘SAA SITA’ itazame

2605 IZO B

Mon, 5 Feb 2018 Chanzo: millardayo.com

Rapper kutokea Mbeya City, Emmanuel Simwinga aka Izzo Bizness time hii ametusogezea hii video mpya ya single yake inayoitwa ‘SAA SITA’ imeongozwa na Director Ivan imeshutiwa Mbeya na DSM.

Itazame mtu wa nguvu kisha usisahau kuniandikia ya moyoni ili  Izzo Bizness akipita hapa asome kutoka kwa watu wake wa nguvu.

DAKIKA 3 ZA BALAAH LA DIAMOND MWEMBE YANGA, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

Chanzo: millardayo.com