Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

VideoMPYA:Scorpion Kings walivyoinogesha wimbo huu kwa lugha ya Kiswahili

Screen Shot 2021 02 03 At 12.13.23 PM 660x400.png VideoMPYA:Scorpion Kings walivyoinogesha wimbo huu kwa lugha ya Kiswahili

Thu, 4 Feb 2021 Chanzo: millardayo.com

Ni Headlines za wakali katika Afrika Kusini Dj Maphorisa & Kabza De Small wanaounda kundi la Scorpion Kings ambapo time hii wameachia video mpya ya wimbo wao uitwao Funu waliomshirikisha Trevor.

Ni Headlines za wakali katika Afrika Kusini Dj Maphorisa & Kabza De Small wanaounda kundi la Scorpion Kings ambapo time hii wameachia video mpya ya wimbo wao uitwao Funu waliomshirikisha Trevor. Mbali na kwamba tumeshazoea mara nyingi wakiimba nyimbo zao kwa lugha ya South, sasa time hii wakali wameamua kuimba wimbo huu mpya kwa lugha ya Kiswahili, itazame hapa

Chanzo: millardayo.com