Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

VideoMPYA: Ni Rayvanny na ‘Mweusi’ Nikki wa Pili wanakualika kwenye hii SIRI.

759 Screen Shot 2017 12 29 At 12.08.58 AM 660x400.png TZW

Fri, 29 Dec 2017 Chanzo: millardayo.com

Kutoka WCB taarifa nyingine ambayo inabidi uifahamu ni uwepo wa video mpya toka kwa Rayvanny akiwa kamshirikisha Nikki wa Pili kutoka Weusi, jina la wimbo huu ni Siri na tayari wametuletea video yao, video imetengenezwa na Director aitwaye Eris Mzava kutoka ExtraFocus Production.

Kutoka WCB taarifa nyingine ambayo inabidi uifahamu ni uwepo wa video mpya toka kwa Rayvanny akiwa kamshirikisha Nikki wa Pili kutoka Weusi, jina la wimbo huu ni Siri na tayari wametuletea video yao, video imetengenezwa na Director aitwaye Eris Mzava kutoka ExtraFocus Production. Ni kweli hakuna tena mapenzi kati ya Rayvanny na mama mtoto wake Fahyma?

Chanzo: millardayo.com