Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

VideoMPYA: Mkali kutoka Kenya Krg The Don anakukaribisha kuitazama

Screenshot 2021 05 18 At 14.51.07 660x400.png VideoMPYA: Mkali kutoka Kenya Krg The Don anakukaribisha kuitazama

Wed, 19 May 2021 Chanzo: millardayo.com

Baada ya wadukuzi kudukua akaunti yake ya mwanzo Krg The Don amefungua akaunti mpya ya The Don TV ambapo ametuwekea brand new video ya wimbo wake uliopo kwenye album yake ya Birth Mark aliyozindua Jijini DSM weekend iliyopita.

Baada ya wadukuzi kudukua akaunti yake ya mwanzo Krg The Don amefungua akaunti mpya ya The Don TV ambapo ametuwekea brand new video ya wimbo wake uliopo kwenye album yake ya Birth Mark aliyozindua Jijini DSM weekend iliyopita. Wimbo unaitwa ‘MATHOGOTHANIO’ amemshirikisha Boondocks Gang and Dj Lyta, bonyeza PLAY hapa chini kutazama.

Chanzo: millardayo.com