Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

VideoFUPI: Kama ilikupita hivi ndivyo ilivyokuwa kwenye harusi ya AY na Remy

Thu, 22 Feb 2018 Chanzo: millardayo.com

February 10 2018 msanii wa Bongofleva AY  alifunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu Remy nchini Rwanda ambapo ndio nyumbani kwa mchumba wake Remy, harusi ya AY  ilihudhuriwa na mastaa wachache kutoka Bongo akiwemo Mwana FA,Meneja wake Sallam Sk

Kama wewe ni moja kati ya mashabiki ambao wanahamu ya kuona ilivyokuwa tazama video hapo chini kwa kubonyeza PLAY.

CONFIRMED: Zari ameachana na Diamond

Chanzo: millardayo.com