Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Video ya Badman gharama zote amelipia Harminiez

Tunda Harmo Video ya Badman gharama zote amelipia Harminiez

Thu, 26 May 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii mkonngwe wa Bongo Fleva, Tunda man ‘Captain’ ametambulisha rasmi ngoma yake mpya aliyoipa jina la #BADMAN ambayo amemshirikisha CEO wa Lebo ya Konde Gang, Harmonize.

Akizungumza wakati wa kuitambulisha BADMAN, Tunda amesema kuwa video ya wimbo huo gharaa zote amegharamia Harmonize kila kitu.

"Alinambia hii ni ngoma kubwa sana inabidi tupate video flani hivi isiwe ya kawaida, ikipungua iwe milioni 14 au 15 hivi.

“Nikaona ni kubwa sana nikamwambia niache wakati nina wanangu nikiwapa watatu au wawili hapo fresh akaniambia hapana tushoot video bajeti kubwa hivi isipungue milioni 9 au milioni 1.

“Nikamwambia poa nitakupa namba ya director, akaniambia sio kesi mwambie aje kuchukua mpunga aka-clear jamaa vizuri tu,'' amesema Tunda.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live