Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Video iliyomnasa Diamond akiongea Harusini kwa Shilole “Shilole chagua unachotaka”

1276 Screen Shot 2018 01 15 At 11.16.19 AM 660x400.png TZW

Mon, 15 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

Harusi ya Shilole imefanyika usiku wa January 14 2018 Mikocheni Dar es salaam baada ya wawili hao ambao ni Shilole na Uchebe kufunga ndoa December 2017.

Mastaa mbalimbali walihudhuria akiwemo Diamond Platnumz ambae ilifika time akaitwa pale mbele kuzungumza na kutoa ahadi yake, bonyeza play hapa chini kumtazama



FULL VIDEO: SHILOLE NA UCHEBE WALIVYOINGIA HARUSINI… SHIHI HAJAACHA ASILI, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUITAZAMA



VIDEO: MAHABA…. HARUSI YA SHILOLE NA UCHEBE UKUMBINI…. BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUITAZAMA

Chanzo: millardayo.com