Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Video: Young Killer na mastaa wengine wafunguka ‘Messi lazima amfunze adabu Nigeria’

Video Archive
Sun, 24 Jun 2018 Chanzo: bongo5.com

Wakati timu ya Nigeria ikishangilia kupata ushindi wake wa kwanza Kombe la dunia dhidi ya Iceland, Mastaa wa muziki akiwemo Young Killer Msodoki pamoja na Bonge la Nyau wamedai ushindi huo ni mpango wa kumtengenezea njia nzuri timu ya Argentina. Rapa huyo ambaye anafanya vizuri kwa sasa amedai mshambuli wa Argentina Lionel Messi atafanya kila awezalo ili kuonyesha kwamba yeye ni bora duniani.



Unaweza kuangalia mechi zote za Kombe la Dunia kupitia App ya Kwesse Iflix. Vodacom wamekuandalia bando maalum linaloweza kukufanya ufurahie mechi zote bila kukwama, unachotakiwa kufanya ni kupiga *149*01# kisha chagua intaneti halafu chagua KWESE IFLIX VIDEO kufurahia uhondo huu .

Loading...
Chanzo: bongo5.com