Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Video: Vanessa ananipa sana changamoto – Jux

Sat, 30 Dec 2017 Chanzo: bongo5.com

Msanii wa muziki, Jux amedai yeye ni mmoja kati ya wasanii ambao wanapata changamoto kutoka kwa muimbaji, Vanessa Mdee ambaye ni mpenzi wake. Muimbaji huyo ambaye anafanya vizuri na wimbo, Utaniua, amesema mafanikio ya Vanessa na kujituma kwake ni kitu ambayo kinamuumiza kila msanii ambaye ana malengo ya kufanya mambo makubwa katika muziki wake.

Chanzo: bongo5.com