Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Video:Uzinduzi wa studio ya mtayarishaji mwenye masters aliekataa kuajiriwa

Iiiiii 1 660x400 Video:Uzinduzi wa studio ya mtayarishaji mwenye masters aliekataa kuajiriwa

Tue, 11 May 2021 Chanzo: millardayo.com

Kutana na producer Davy Marchody aliyetengeneza Hit songs kadhaa kama Gusanisha ya Gnako, Kandance ya Maua na nyingine nyingi. Usiku wa kuamkia leo mtayarishaji huyo amezindua studio zake maeneo ya Sinza Dar es Salaam, studio ambayo alianza kuinunulia vifaa miaka mitatu iliyopita huku likiwa ni wazo lake miaka 10 nyuma toka alipoanza kuingia kupambania muziki.

Kutana na producer Davy Marchody aliyetengeneza Hit songs kadhaa kama Gusanisha ya Gnako, Kandance ya Maua na nyingine nyingi. Usiku wa kuamkia leo mtayarishaji huyo amezindua studio zake maeneo ya Sinza Dar es Salaam, studio ambayo alianza kuinunulia vifaa miaka mitatu iliyopita huku likiwa ni wazo lake miaka 10 nyuma toka alipoanza kuingia kupambania muziki. Producer Marchody ana masters ya biashara aliyechukua katika chuo kikuu cha UDSM na hapa amefunguka safari yake mpaka kukamilisha hili. PLAY Kutazama.

Chanzo: millardayo.com