Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Video:Sakata la sumu ya gesi Beach Kidimbwi, meneja afunguka

Video Archive
Tue, 25 May 2021 Chanzo: millardayo.com

Baada ya kusambaa kwa taarifa mitandao iliyoibua taharuki kwamba kuna watu wamepoteza maisha, kuibiwa mali zao na kuzimia katika eneo maarufu jijini Dar es Salaam Kidimbwi Beach, Ayo TV na Millardayo.com imezungumza na Uongozi wa eneo hilo.

Taarifa sio za kweli hakuna mtu aliyefariki wala aliyezimia katika eneo hili, nilikuwepo hapa mpaka mwisho shughuli, ila kulitokea ugomvi kati ya mtu na mpenzi wake wakati wanakaribia kuondoka walikuwa wanagombana chanzo inasemekana ni wivu wa mapenzi na walivyoanza kugombana security walifanya kazi yao ya kuwachukua wale watu na kuwapeleka Polisi’- Ismail Kagambo

‘Majibu yote yatatoka Polisi baada ya upelelezi kukamilika, usalama upo hakuna madhara yaliyotokea kwa wafanyakazi wetu ama wateja wetu,” Ismail Kagambo Meneja Kidimbwi.

SUPRISE YA DARASSA YATAKA KUMTOA MACHOZI SHO MADJOZI JUKWAANI HUKU AKIWAIMBIA WATANZANIA

Chanzo: millardayo.com