Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Video: Nisha ni ‘comedian’ hawezi kuwa na Brown – Wolper

Video Archive
Fri, 13 Apr 2018 Chanzo: bongo5.com

Mrembo kutoka kiwanda cha filamu Bongo, Jacqueline Wolper amekanusha tetesi za kusema kuwa muigizaji na msanii wa muziki Nisha Bebee hana vigezo vya kuwa na aliyekuwa mpenzi wake Brown, kauli hiyo imekujaa baada ya kunukuliwa vibaya katika mahojiano aliyofanya hivi karibuni.

Chanzo: bongo5.com