Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Video: Natarajia kutoa ubunifu mkubwa zaidi ya Wowowo – ZaiiD

Fri, 9 Feb 2018 Chanzo: bongo5.com

Baada ya ngoma yake Wowowo kufanya vizuri, rapper  ZaiiD amefunguka na kusema anatarajia kufanya ubunifu mwingine mkubwa zaidi ya huo. Hii ni kutokana na kutaka kuepuka kurudia kitu ambacho ameshakwisha kukifanya.

Chanzo: bongo5.com