Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Video:Mwimbaji Lady Jay Dee afunguka "Muacheni mtu awe yeye"

2 660x400 Video:Mwimbaji Lady Jay Dee afunguka "Muacheni mtu awe yeye"

Thu, 4 Feb 2021 Chanzo: millardayo.com

Ayo TV na Millardayo.com imefanya mahojiano na mwimbaji Mkongwe Lady JayDee ikiwa ni kuelekea February 12 anayotarajia kuachia Album yake ya 8 aliyoipa jina la 20.

Ayo TV na Millardayo.com imefanya mahojiano na mwimbaji Mkongwe Lady JayDee ikiwa ni kuelekea February 12 anayotarajia kuachia Album yake ya 8 aliyoipa jina la 20. ‘Ni Album yangu ya Nane yenye nyimbo zaidi ya Ishirini ambayo nimewashirikisha wasanii wengi tu tofauti na nyimbo zingine zilizowahi kusikika, mpaka sasa naweza sema Album hii mpya nimeandikiwa nyimbo kama tisa’- Lady Jay Dee

Chanzo: millardayo.com