Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Video: Mwijaku kaeleza kinachoendelea kati ya Harmonize na Kajala

Uuuuuu 660x400 Video: Mwijaku kaeleza kinachoendelea kati ya Harmonize na Kajala

Thu, 11 Feb 2021 Chanzo: millardayo.com

NI Headlines za Mtangazaji Mwijaku kutoka Clouds FM  ambae time hii amefunguka kile kinachoendelea mitandaoni kati ya msanii wa Bongo Fleva, Harmonize na Mwigizaji  Kajala Masanja.

Akizungmza na Millardayo.com & Ayo TV alisema…’Harmonize na Kajala ni wapenzi kwelikweli yaani na penzi lao wanalificha, japo Kajala hayupo tayari kuyaweka wazi hadharani pengine labda anawaza ana mtoto mkubwa Paula huenda labda ndio sababu ya kutoweka hili wazi‘- Mwijaku

‘Hawa wote wamepitia magumu mimi najua mapenzi naishi katika mapenzi na Kajala ukimtazama sura yake inaweka wazi kabisa, upande wa Harmonize yeye anatamani ulimwengu hata Dunia ifahamu mara kumuweka kwenye DP mara kwenye instagram apunguze haraka’- Mwijaku

Chanzo: millardayo.com