Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Video:Mjadala wa kumpa Pesa Mwanamke wamfikia Mwijaku, kafunguka Busara zake

908 660x400 Video:Mjadala wa kumpa Pesa Mwanamke wamfikia Mwijaku, kafunguka Busara zake

Fri, 5 Feb 2021 Chanzo: millardayo.com

Baada ya kuwepo mjadala mtandaoni kuhusu kumpa hela (matunzo) mwanamke unayekuwa nae kwenye mahusiano, ambapo wapo wanaodai sio lazima kumpa mwanamke hela huku wengine wakisema ni wajibu wa lazima mwanaume kumpa mwanamke wake hela. Swala limemfikia Mwijaku na hapa amefunguka ishu hiyo.

‘Vitabu vya Mungu vinasema Mwanamke atazaa kwa uchungu na Mwanaume utatafuta kwa Jasho hiyo ni hekima sana, Kwahiyo Mwanamke ana haki ya kupewa kwani Mwanaume ni kiongozi wa familia’- Mwijaku

‘Mwanamke akitoa pesa kwenye familia labda kwa mapenzi yake na sio kumpangia na naomba watu wajue kingine Mwanamke ni pambo kwetu sisi Wanaume ndio maana mitandaoni wanawake wengi wamekasirika kauli ya kutopewa hela ila wana haki ya kupewa hela’- Mwijaku

Chanzo: millardayo.com