Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Video: Label haiwezi kumfanya msanii afanikiwe – Ray Vanny

Mon, 29 Jan 2018 Chanzo: bongo5.com

Msanii wa muziki kutoka label ya WCB, Ray Vanny amefunguka kwa kudai kuwa sio kweli kwamba msanii ni lazima awe na label ndio afanikiwe katika maisha ya muziki. Muimbaji huyo ambaye anafanya vizuri na wimbo, Siri aliomshirikisha Nikki wa Pili, amesema msanii anaweza kufanya vizuri hata akiwa nje ya label.

Chanzo: bongo5.com