Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Video: Kitumbo cha Dayna Nyang’e utata mtupu

Thu, 15 Feb 2018 Chanzo: bongo5.com

Msanii wa muziki Dayna Nyang’e ameamua kusheherekea siku ya wapendanao kwa kuachia picha inayoonyesha tumbo kake mithiri ya mtu  mwenye ujauzito.

Dayna ameweka picha hiyo katika mtandao wa kijamii wa Instagram na kuandika “HAPPY VALENTINE’S BABY

Chanzo: bongo5.com