Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Video: Diamond amelamba dume kwa Maromboso – Shilole

Mon, 29 Jan 2018 Chanzo: bongo5.com

Msanii wa muziki ambaye ni mwanafamilia wa WCB na Diamond, Shilole akiwa na mume wake Uchebe amefunguka kwa kumsifu Diamond kwa kuamua kumsaini muimbaji Maromboso ‘Mbosso’ kwa madai ni msanii mwenye vipaji vingi na anapaswa kuungwa mkono.

Chanzo: bongo5.com