Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Video:Aunt Ezekiel aangua kilio mahakamani, kesi ya Dawa za Kulevya

Video Archive
Fri, 12 Mar 2021 Chanzo: millardayo.com

Kutokea Mahakamani Kisutu ambapo Camera za Ayo TV na Millardayo.com zimemnasa msanii Aunt Ezekiel aliyefika mahakamani hapo kwa ajili ya kufatilia mwenendo wa kesi ya Dawa za Kulevya inayomkabili Said Mbasha na wenzake. Aunt Ezekiel amefika mahakamani hapo leo ambapo akiwa ndani ya chumba cha mahakama alionekana akibubujikwa na Machozi kabla ya washitakiwa kusomewa mashitaka yao.

Chanzo: millardayo.com