Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Victoria Kimani awavuruga Wakongomani

Victoria Kimani 660x400.png Victoria Kimani asepa na kijiji Congo DR

Mon, 10 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msani maarufu nchini kenya, mwanadada Victoria Kimani ambaye kwa sasa makao yake ni nchini Marekani amefanyikiwa kuongoza mashabiki wengi kutoka nchini Congo DR baada ya msani Ferre Gola le Padre kumualika kama msanii maalum kwenye tamasha lake.

Tamasha hilo kimefanyika hivi karibuni katika Ukumbi wa Stade de Martyrs na kuhudhuriwa na mashabiki zaidi ya 95 000.

Baada ya shoo hiyo, Kimani alifanikiwa kujinyakulia wafuasi 7000 kwenye mtandao wa Instagram kutoka Congo ambapo kabla ya shoo kufanyika alikuwa na wafuasi 784,000.

Na baada ya shoo hiyo, followers waliongezeka na kufikisha kufikisha 800,000 ya wafuasi wanaomfuatilia.

Katika moja ya video iliyotrend baada ya shoo hiyo ilimuonesha Kimani akicheza mbele ya mashabiki na kusaula mauno yake huku kufuri la ndani likionekana wakati yeye akiwa hajali.

Mpaka sasa Victoria bafo yupo nchini Congo akiendelea kula bata na mengi mazuri yaliyomo katika taifa la akina Mayele, Inonga, Bangala na Baleke.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live