Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Verse 2 kuachia ‘Sambusa’

WhatsApp Image 2020 09 03 At 14.34.30.jpeg Verse 2 kuachia ‘Sambusa’

Thu, 3 Sep 2020 Chanzo: mtanzania.co.tz

SIKU chache baada ya kuachia video ya Pepea, msanii wa kizazi kipya mwenye asili ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo anayeishi Australia, Verse Due a.k.a Verse 2 amesema muda wowote kutoka sasa ataachia wimbo mwingine, Sambusa.

Akizungumza na Papaso la Burudani, Verse alisema huo ni mwendelezo wa kuachia nyimbo mfululizo kutoka kwenye albamu yake ya Unexpected Arrival yenye jumla ya ngoma 19.

“Nashukuru Pepea inafanya vizuri lakini tumeingia mwezi mpya kwahiyo muda wowote nitaachia, Sambusa na kama kawaida yangu nitatoka $100 kama zawadi kwa mashabiki watakaoweza kushirikisha shindano langu la kucheza,” alisema Verse.

Chanzo: mtanzania.co.tz