Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Vera Sidika ajibu swali lililokuwa linawaumiza mashabiki

3269 Screen Shot 2018 02 14 At 16.47.18.png TZW

Thu, 15 Feb 2018 Chanzo: bongo5.com

Vera Sidika ameweka wazi mahusiano yake na njemba ambaye amekuwa akimpost mara kwa mara kwenye mitandao yake ya kijamii.



Mrembo huyo kutoka Kenya, amekuwa akiibua maswli mengi kwa mashabiki kuhusu picha anazopiga na jamaa huyo.

Lakini jumatano hii ikiwa ni sikukuu ya Valentine’s Day, Vera ameonyesha kuwa na mahusiano ya kimapenzi na jamaa huyo mwenye asili ya kizungu baada ya kuachana na ex wake raia wa Nigeria.

“Happy Valentine’s Day from my BFF & I,” ameandika Vera kwenye picha hiyo hapo juu aliyoiweka kwenye mtandao huo.

Hizi ni picha nyingine ambazo Vera amewahi kupost akiwa na mzungu huyo.



Chanzo: bongo5.com