Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Vanessa na Rotimi wapata mtoto wa pili

Vanessa Apata Mtoto Vanessa na Rotimi wapata mtoto wa pili

Tue, 7 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Pamoja na mpenzi wake Rotimi Wame-Share video kupitia kurasa zao za Instagram kuthibitisha kwamba Wamebarikiwa kupata mtoto wao pili.

Mtoto huyo Wa pili ambaye ni wa kike amepewa jina la Imani, wa kwanza anaitwa Seven.

"And then we were 4 ???????? What shall I render to JEHOVA ???????? FATHER GOD JESUS CHRIST MASTER HOLY SPIRIT THANKYOU YOU’VE BEEN SOOOOOOO GOOD TO ME. Our Princess is here," aliandika Vanessa kwenye ukurasa wake wa Instagram.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live