Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Vanessa afunguka hali ya mdogo wake Mimi Mars

Vanessa Mdee Avunja Kimya Ishu Ya Kutakiwa Kurudi Kwenye Muziki Vanessa afunguka hali ya mdogo wake Mimi Mars

Tue, 2 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Dada wa mwanamuziki Mimi Mars, Vanessa Mdee amejitokeza kutoa taarifa juu ya afya ya mdogo wake ambaye tetesi zimekuwa zikisambaa mtandaoni kuwa amepata ajali mbaya ya gari.

Kupitia Ukurasa wake wa Instagram Vanessa Mdee amefunguka kuwa;

"Mimi Mars anaendelea vizuri kwa sasa na familia ingeomba kupewa faragha katika kipindi hiki."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live