Gassita na Vanessa Mdee" /> Gassita na Vanessa Mdee"/> Gassita na Vanessa Mdee"/>

Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Vanessa Mdee kupeperusha bendera ya Tanzania nchini Gabon mbele ya Rais Ali Bongo

8496 Screenshot From 2017 09 15 08 54 04 TZW

Thu, 31 May 2018 Chanzo: bongo5.com

height="400" class="wp-caption-text">Gassita na Vanessa Mdee

Vanessa Mdee akizungumza na Bongo5 amesema kuwa kutakuwa na tamasha kubwa ambapo litahudhuriwa na wasanii wakubwa akiwemo mwanamuziki mashuhuri nchini humo, Frédéric Gassita na producer mkubwa wa muziki duniani,  Humberto Gatica.

Mwaka jana Vanessa Mdee alikutana na Rais Ali Bongo wakati wakirekodi project ya The African Queens ya Ali Bongo na Frédéric Gassita.

Na kwenye project hiyo ya The African Queens kuna nyimbo, Vanessa Mdee kafanya na Rais Ali Bongo na huenda waka-perform kwenye jukwaa moja.

Rais Ali Bongo ni moja ya maproducer wakongwe wa muziki nchini humo na ameshatayarisha album nne za gwiji wa muziki nchini Gabon, Frédéric Gassita.

Loading...
Chanzo: bongo5.com