Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Vanessa Mdee kuachia Pre-Order ya album yake leo, ataja idadi ya nyimbo (+Video)

436 Capture 40 TZW

Wed, 20 Dec 2017 Chanzo: bongo5.com

Msanii wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee ametangaza kuachia pre-order ya album yake ya ‘Money Mondays’ ambapo amesema album hiyo itakuwa na idadi ya nyimbo 18.

Msanii wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee ametangaza kuachia pre-order ya album yake ya ‘Money Mondays’ ambapo amesema album hiyo itakuwa na idadi ya nyimbo 18. Vanessa Mdee amesema kwenye album hiyo kutakuwepo pia na ngoma yake ambayo amefanya na rapa Cassper Nyovest na kolabo zake nyingine za kimataifa.

Chanzo: bongo5.com