Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Vanessa Mdee atumbuiza na Joh Makini ngoma tatu mpya kutoka kwenye album yake ya ‘Money Mondays’ (+Video)

819 Capture 77 TZW

Sat, 30 Dec 2017 Chanzo: bongo5.com

Kwa mara ya kwanza jana Ijumaa usiku mashabiki wa Vanessa Mdee wamepata vionjo vya ngoma tatu kali zinazopatikana kwenye album yake ya ‘Money Mondays’ .

Vanessa Mdee na Joh Makini

Vanessa Mdee ametumbuiza ngoma yake ya ‘Unfollow’, The Way You Are na wimbo wake wa Pumzi ya Mwisho aliyowashirikisha marapa Joh Makini na Cassper Nyovest kutoka Afrika Kusini. Tazama video ya tukio hilo

Chanzo: bongo5.com