Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Vanessa Mdee atua Bongo na kuondoka kimya kimya

Vanessa Mdee Mzee Vanessa Mdee atua Bongo na kuondoka kimya kimya

Sun, 14 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki Vanessa Mdee ameshea video kwenye ‘Insta Story’ yake akiwa Julius Nyerere International Airport akirudi zake Marekani baada ya kuja Tanzania kwa muda mfupi.

Kupitia video hiyo Vanessa Mdee ameandika ‘Asanteni. Can’t wait to see my babies’.

Ikumbukwe Vanessa Mdee aliahidi kurudi Tanzania siku za hivi karibuni kupitia page yake ya Instagram.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live