Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Vanessa Mdee amkosha Ben Pol

3642 23733719 1992334144318372 3707317483875598336 N5 TZW

Mon, 26 Feb 2018 Chanzo: bongo5.com

Mtindo wa wasanii wa kubadili rangi za nywele umezidi kushika kasi, alianza Ben Pol kisha Alikiba na Ommy Dimpoz na hatimaye leo tumeona hilo kwa Vanessa Mdee.



Ben Pol ameonyesha kuvutiwa zaidi kwa hatua hiyo ya Vanessa kwani mwanzoni alipobadili zake wengi walimkosoa ila sasa mtindo huo umeanza ku-trend. Kupitia Instagram yake Ben Pol ameandika;Happy Faraja Week, naendelea kufarijika tu Vanessa Mdee.



Utakumbuka siku moja iliyopita Ben Pol alifanya kitu kama hicho mara baada ya kuona Alikiba na Ommy Dimpoz wamefanya hivyo. Wasanii wote kwa ujumla wameungana na wasanii wengine kama Harmonize, Queen Darleen, Lava Lava na Amber Lulu ambao walifanya hivyo awali.

Chanzo: bongo5.com