Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Vanessa Mdee akanusha kuwa na ujauzito

Vanessa X Rotimi Vanessa Mdee akanusha kuwa na ujauzito

Mon, 29 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya kushare video kupitia ukurasa wake wa Instagram na kuzua gumzo kupitia mitandao ya kijamii kuwa ni mjamzito mwanamuziki wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee amekanusha taarifa hizo.

Kupitia instastory ya Vanessa amekanusha kuwa na ujauzito kwa kuweka ujumbe akieleza kuwa amenenepa tuu kutokana na kwenda vacation (likizo) mfululizo na kuishi maisha mazuri.

Ikumbukwe kuwa kwasasa Vanessa Mdee ana watoto wawili ambao amewapata pamoja na mpenzi wake Rotimi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live