Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Vanessa Mdee aeleza atakavyo inufaisha familia Mubaraka Mwishehe kwa mauzo ya mtandao (+Video)

1712 Screen Shot 2018 01 19 At 13.19.45 1.png

Mon, 22 Jan 2018 Chanzo: bongo5.com

Msanii wa muziki Vanessa Mdee amebainisha kwa nini familia ya marehemu Mubaraka Mwishehe itanufaika kwa mauzo ya albamu ya Money Monday kwa njia ya mtandao na sio kwa mauzo ya kawaida (CD).



Mrembo huyo amebinbisha hayo kupitia mahojiano aliyofanya na Bongo5 na kusema kuwa ameamua maamuzi hayo yamekuja baada ya utoa kiojo katika ngoma ya ‘Jogoo la Shamba’ ya marehemu Mubaraka na kukitumia katika ngoma yake ya ‘ Pumzi ya Mwisho’ aliyowashirikisha marapper wawili amabo ni Cassper Nyovest na Joh Makini.

“Familia ya mubaraka itanufaika kwa mauzo ya kimtandao kwa sababu soko letu lina hamia kimtandao Zaidi hivyoi ni meona ni busara kutumia njia hiyo,” amesema Vanessa.

Chanzo: bongo5.com